Burudani

R Kelly aja na ’12 Nights of Christmas’

Albamu mpya ya R Kelly ‘12 Nights of Christmas’ imeanza kupatikana kwenye mtandao wa Apple Music.

r-kelly-12-nights-of-christmas

Msanii huyo ameachia albamu hiyo kwenye mtandao huo ikiwa na nyimbo 12 huku albamu yake ya mwisho ikiwa ni ‘The Buffet’ aliyoiachia mwaka 2015 iliyokuwa na nyimbo 15.

Hizi ni nyimbo zilizopo kwenye albamu mpya ya ‘12 Nights of Christmas’ ya R Kelly.

1.My Wish for Christmas
2.Snowman
3.Home For Christmas
4.Mrs. Santa Claus
5.I’m Send You My Love For Christmas
6.Letters
7.Once Upon a Time
8.The Greatest Gift
9.It’s Christmas Day
10.Christmas Lovin
11.Flyin’ On My Sleigh
12.12 Night Of Christmas

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents