Burudani

Q Chillah adai wimbo wake na Patoranking umevujishwa

Q-Chillah amefunguka kuwa wimbo wake mpya aliomshirikisha Patoranking wa Nigeria ‘Koku’ umeachiwa bila ya idhini yake.

15306071_1724567894527066_8600417322974314496_n

Kupitia mtandao wa Instagram, muimbaji huyo ameandika:

Morning wadau naomba niwajuze kwamba wimbo wangu mpya wa koku q chief ft Patoranking fire bado haujatoka ila kuna MTU mmoja ameamua kuivujisha kwenye mitandao kwa lengo la kuniharibia nawaomba msipotoshwe original version soon at mkito inshaalah mungu ataweka mikono take ameen

chillah

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents