Burudani

Profesa Jay na Mr Nice kuipa shavu show ya Chameleone nchini Uganda ‘Badilisha Live’

Profesa Jay na Mr Nice watakuwa miongoni mwa wasanii watakaomsindikiza Jose Chameleone kwenye show yake ya April 26 iliyopewa jina ‘Badilisha Live’

388432_436365899773799_763534989_n

Badilisha Live itafanyika kwenye viwanja vya mchezo wa rugby wa Kyadondo jijini Kampala. Akizungumzia sababu za kumwalika Mr Nice kwenye show hiyo licha ya umaarufu wake kushuka, Chameleone ameiambia Bongo5, “he’s one of east Africa’s greatest artistes of his times.”

Katika show hiyo pia Redsan wa nchini Kenya atakuwepo pia pamoja na wasanii wengine wakubwa ambao bado anaendelea kuwataja.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents