Burudani

Producer Tudd Thomas alazwa hospitali baada ya kujeruhiwa na vibaka

Mtayarishaji wa muziki nchini, Tudd Thomas amejeruhiwa sehemu mbalimbali za mwili baada ya kuvamiwa na watu wanaosadikika kuwa ni vibaka maeneo ya Mlimani City, jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo.

Tudd T

Kwa mujibu wa taarifa iliyowekwa kwenye ukurasa wa @Cloudsfmtz Instagram, Mtayarishaji huyo aliyetengeneza hits za mastaa mbalimbali akiwemo Diamond ‘Mdogo Mdogo’, amelazwa hospitali ya Muhimbili katika kitengo cha MOI.

Tudd

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents