Producer wa hits kibao ikiwemo Waya ya Joh Makini, Luffa amesema mashabiki wamtarajie katika upande mwingine wa muziki kama muimbaji.
Amedai kuwa ana nyimbo nyingi ambazo anarekodi ukiwemo ule uliomshirikisha Chin Bees.
Msikilize hapo juu akizungumzia suala hilo.