Burudani

Prezzo kufunga ndoa mwaka huu (Video)

Rapper Prezzo anatarajia kufunga ndoa mwaka huu.

Prezzo 1

Tayari ameshamchumbia mpenzi wake aitwaye Michelle Yola.

Rapper huyo alitoa habari hiyo njema hivi karibuni wakati akihojiwa kwenye kipindi cha The Trend cha NTV. Aliongozana na mchumba wake kweye show hiyo aliyemtambulisha kama ‘Mrs Makini.’

Michelle alisema kuwa walifahamiana na Prezzo miaka miwili iliyopita lakini wamekuwa pamoja kama wapenzi kwa mwaka mmoja sasa.

Hiyo itakuwa ni mara ya pili Prezzo anaoa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents