Habari

Polisi watoa sababu ya kumshikilia Edward Lowassa na baadaye kumuachia (Video)

Jeshi la Polisi Mkoani Geita Jumatatu hii lilimkamata Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Edward Lowassa kwa mahojiano na baadaye kumuachia.

Kwa mujibu wa taarifa za jeshi hilo zilidai kuwa Edward Lowassa hakukamatwa bali alishikiliwa na jeshi hilo kwa sababu ya usalama yake.

Jeshi hilo lilidai halikuwa taarifa yoyote ya Edward Lowassa kuelekea kwenye mkutano wa CHADEMA.

Hata hivyo baada ya kufanya naye mahojiano jeshi hilo lilimuachia.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents