Burudani

Pillow Talk: Shilole akiezelea jinsi alivyoumizwa kwenye mapenzi (Video)

Pillow Talk ni kipindi kinachorushwa kupitia Times FM 100.5 na wiki hii muigizaji wa filamu na muimbaji, Shilole alialikwa kuchombeza mawili matatu. Kupitia kipindi hicho Shilole alisimulia kwa ufupi jinsi alivyoumizwa na aliyekuwa mume wake. Mtazame hapa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents