BurudaniDiamond Platnumz

Picha/Video:Diamond apokewa kwa shangwe uwanja ndege wa Mwalimu J.K Nyerere Dar

Hit maker wa My Number One , Nasib Abdul aka Diamond Platinum ameingia Dar es salaam usiku wa July 10 akitokea Marekani. Diamond ambae aliachia video mbili july 7, Mdogo Mdogo na Bum Bum , amepokewa na ndugu ,jamaa na mashabiki wa muziki wake huku wakiwa na ujumbe mzuri kwenye mabango.
Diamond baada ya kuwasili katika  uwanja Mwalimu J.K Nyerere Airpot, Dar es salaam
Diamond baada ya kuwasili katika uwanja wa Mwalimu J.K Nyerere, Dar es salaam

Hizi ni baadhi ya picha za mapokezi ya Diamond Platnumz.

Aunt Ezekiel akiwa na mabango yenye ujumbe kwa Diamond
Aunt Ezekiel akiwa na mabango yenye ujumbe kwa Diamond

Aunt Ezekiel
Aunt Ezekiel

Babu Tale akifanya mahojiano na wanahabri
Babu Tale akifanya mahojiano na wanahabari

Mama Nasib Abdul akimsubiria mwanae
Mama Nasib Abdul akimsubiria mwanae

Mashabiki wa Diamond wakiwa na mabango yenye ujumbe
Mashabiki wa Diamond wakiwa na mabango yenye ujumbe

Wadau wa muziki wakimsubiri Diamond
Wadau wa muziki wakimsubiri Diamond

Wadau wakicheza na Diamond
Wadau wakicheza na Diamond

Wema Sepetu na Babu Tale wakimsubiri Diamond
Wema Sepetu na Babu Tale wakimsubiri Diamond

Baunsa wa Diamond akitoa mizigo
Baunsa wa Diamond akitoa mizigo

Dada yake Diamond Asma akimsubiria kumuona kaka yake
Dada wa Diamond Esma akimsubiria kumuona kaka yake

Diamond akicheza kidogo na mashabiki wa muziki wake
Diamond akicheza kidogo na mashabiki wa muziki wake

Diamond akiwa mwenye furaha baada ya kuona mapokezi mazuri
Diamond akiwa mwenye furaha baada ya kuona mapokezi mazuri

Diamond akiwasili  uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K Nyerere
Diamond akiwasili uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K Nyerere

Diamond baada ya kuwasili katika  uwanja Mwalimu J.K Nyerere Airpot, Dar es salaam
Diamond baada ya kuwasili katika uwanja Mwalimu J.K Nyerere Airpot, Dar es salaam

Mama Diamond akiwa na mwanae Asma
Mama Diamond akiwa na mwanae Esma

IMG_4212

IMG_4213

IMG_4217

IMG_4228

IMG_4253

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents