Picha/Video: Viongozi wa serikali, wasanii wamzika Ebby Sykes
Viongozi mbalimbali wa serikali, wasanii pamoja na wadau mbalimbali wa muziki jana wamemzika Mzee Ebby Sykes, baba yake na Dully Sykes kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Mwili wa marehemu mzee Ebby Sykes ukishushwa chini
Akizingumza katika makaburi ya Kisutu kaka wa marehemu aliwashukuru viongozi, wasanii pamoja na wadau mbalimbali walioshiriki katika mazishi hayo. Mzee Ebby ambaye alikuwa msanii na mdau wa muziki alifariki siku ya Jumapili baada ya kusumbuliwa na vidonda vya mguu.
Mkuu wa mkoa Dar es salaam, Said Meck Sadiki, jaji mstaafu Warioba, Ridhwani Kikwete pamoja na viongozi wengine wa serikali
Mzee wa Warioba akizungumza na Saidi Mack Sadiki
Kaka wa marehemu, Sykes akizungumza na kutoa shukrani kwa viongozi wa serikali, wasani pamoja na wadau mbalimbali waliojitokeza kwenye mazishi hayo
Kaka yake marehemu mzee Ebby Sykes akimpokea mkuu wa mkoa wa Dar es salam Said Meck Sadiki
Dua maalum kwa marehemu Ebby Sykes
Dully akiingia kaburini kumzika baba yake
Dully Sykes
Msanii wa filamu Dude akitia udongo ndani ya kaburi
Ridhiwani akitia udongo ndani ya kaburi
Said Meck Sadiki akitia udongo ndani ya kaburi
Tunda Man, Kassim Mganga wakiwa na wadau wa muziki
AY, Baraka Da Prince na DJ Venture
Bushoke
Daz Baba akiwa kwenye mazishi
Dude mwenye miwani ni miongoni mwa mastaa waliohudhuria mazishi