Picha

Picha/Video: Emmanuel Msuya ndio mshindi wa EBSS 2013

Emmanuel Msuya jana alitawazwa mshindi wa shindano la Bongo Star Search 2013 kwenye fainali iliyofanyika kwenye ufukwe wa kiota cha Escape 1 jijini Dar es Salaam. Msuya aliwabwaga wapinzani wake wanne Elizabeth Mwakijambile,Amina Chibaba,Maina Thadei na Mellisa John. Kutokana na ushindi huo, Msuya alijishindia zawadi ya shilingi milioni 50.

IMG_4301
Emmanuel Msuya akiwa ameshika briefcase yenye shilingi milioni 50

Furahaa baada ya kutangazwa kuwa yeye ndo mshindi
Msuya afurahia baada ya kutangazwa kuwa yeye ndo mshindi

Emmanuel Msuya na Elizabeth Mwakijambile wakisubiri kutajwa mshindi kati yao
Emmanuel Msuya na Elizabeth Mwakijambile wakisubiri kutajwa mshindi kati yao

Amina Chibaba akiwa stejini
Amina Chibaba akiwa stejini

Elizabeth Mwakijambile mshiriki wa EBSS 2013
Elizabeth Mwakijambile mshiriki wa EBSS 2013 aliyekamata nafasi ya pili

IMG_3988
Top 5 wakitumbuiza

IMG_3990
Peter Msechu akitumbuiza na washiriki walioingia 5 bora

IMG_4002
Amina Chibaba

IMG_4019
Elizabeth

IMG_4027
Emmanuel Msuya

IMG_4052
Mellisa John

IMG_4075
Rapper Kimbunga akitumbuiza

IMG_4077
Young Killer akiimba wimbo wake Mrs Superstar

Madam Ritta na Mastar Jay wakiwa katika meza
Madam Rita na Master Jay wakiwa katika meza ya majaji

Majaji wa fainali za EBSS 2013 kutoka kushoto Banana Zorro, Madam Ritta na Master J wakifuatilia fainali hizo
Majaji wa fainali za EBSS 2013 kutoka kushoto Banana Zorro, Madam Rita na Master J wakifuatilia fainali hizo

Makomando wakifanya show
Makomando wakifanya show

Mshindi wa EBBS 2013 Emmanuel Msuya.
Mshindi wa EBBS 2013 Emmanuel Msuya

Mshiriki Mellisa John
Mellisa John

Mshiriki wa EBSS Maina Thadei
Mshiriki wa EBSS Maina Thadei

Shaa akiwapa mashabiki wake sugua gaga
Shaa akiwapa mashabiki wake ladha ya live ya wimbo wake Sugua Gaga

Sizza na Tj
Mamcee wa show Siza na TJ

Snura akiwa jukwaani
Snura akiwa jukwaani

Wanakitivo watakaohesabu kura za washiriki wakiongozwa na Saldado (kushoto), Barnaba (kati) na Fid Q.…
Wanakitivo Saldado (kushoto), Barnaba (kati) na Fid Q

Washiriki walio ingia tano bora wakijiandaa kwenda kutoa Burudani
Washiriki walioingia tano bora wakijiandaa kwenda kutoa burudani

Washiriki walioingia Tatu Bora kutoka kushoto ni Elizabeth Mwakijambile, Emmanuel Msuya na Mellisa John
Washiriki walioingia tatu bora kutoka kushoto ni Elizabeth Mwakijambile, Emmanuel Msuya na Mellisa John

IMG_4097

IMG_4106

IMG_4108

IMG_4118

IMG_4132

IMG_4144

IMG_4145

IMG_4160

IMG_4165

IMG_4167

IMG_4171

IMG_4172

IMG_4179

IMG_4185

IMG_4189

IMG_4200

IMG_4203

IMG_4218

IMG_4221

IMG_4228

IMG_4235

IMG_4240

IMG_4241

IMG_4250

IMG_4262

IMG_4291

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents