Burudani

Picha: Producer P-Funk Majani afunga ndoa Arusha

Producer wa Bongo Records, P-Funk Majani aka ‘Dream Big’ Jumamosi hii amefunga pingu za maisha na mrembo aitwaye Hidaya katika harusi iliyofanyika jijini Arusha.

Bwana harusi akimvisha mkewe pete
Bwana harusi akimvisha mkewe pete

Kupitia Instagram, Majani ameandika: Finally i made the big moves’ na kuambatanisha picha akiwa na mke wake Hidaya.

Maharusi mara baada ya kufunga ndoa yao
Wanaharusi mara baada ya kufunga ndoa

P Funk na  Hidaya

IMG_1659

Source:Jestina George

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents