Burudani

Picha:Davido na timu yake wawasili Dar

Msanii wa muziki wa kimataifa kutoka nchini Nigeria, Davido ameaingia usiku wa October 17 na kupokelewa na wadau mbalimbali wa burudani katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere.

Davido akiwa mwenye furaha baada ya kuwasili ndani ya uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar Es salaam
Davido akiwa mwenye furaha baada ya kuwasili ndani ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam

Davido ambaye amewahi kufanya collabo na Diamond alisema amefurahishwa na ujio wake ndani ya jiji la Dar es Salaam.

Davido na Team yake wakiwasili katika uwanja  wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar Es salaam
Davido na timu yake wakiwasili

Davido akikabidhiwa tisheti namba kumi Nishidah
Davido akikabidhiwa tisheti namba kumi, Ni shidah

Davido akisikiliza kwa makini jambo
Davido akisikiliza kwa makini jambo

Davido akihojiwa na mtangazaji wa Choice FM Lady Haha
Davido akihojiwa na mtangazaji wa Choice FM Lady Haha

Davido
Davido

IMG_5357

IMG_5391

IMG_5407

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents