Burudani

Picha:Chege,Temba na Mkubwa na Wanawe watoa msaada hospitali Temeke

Chege, Temba, Aslay pamoja na kundi zima la Mkubwa na Wanawe Jumatano hii walitembelea katika wodi ya watoto ya hospitali ya Temeke jijini Dar es Salaam na kutoa misaada mbalimbali.

Maneja wa kundi la mkubwa na wanae pamoja Wanaume family Said Fella akikabidhi msaada kwa wahusika wa hospital hiyo
Said Fella akikabidhi msaada kwa wahusika wa hospitali hiyo


Akizungumza na waandishi wa habari Said Fela alisema wanajisikia vizuri kutoa msaada kama huo kwakuwa na wao ni wagonjwa wa baadaye.

“Tumeamua kuanza na watoto maana mimi ni mzazi na hata mke wangu anajifunguliaga hapa pia mimi nilikuwa mtoto na katika show yetu pengine wazazi waliopo hapa walipenda kufika lakini kutokana na kuuguza wakashindwa kufika. Na hii hatutofanya wilaya hii tu tukipata kingine kidogo basi tutapeleka na kwingine na hii isiwe sisi tumefunga milango wajitokeze na wengine kusaidia,” alisema.

Temba akiwa wodi ya watoto
Temba akiwa wodi ya watoto

Aslay akiwa na wenzake
Aslay akiwa na wenzake

Chege
Chege
fff

IMG_0009

IMG_0016

IMG_0022

IMG_0047

IMG_0053

IMG_0058

IMG_0082

IMG_0083

IMG_0088

IMG_0092

IMG_0116

IMG_0129

IMG_0141

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents