Picha

Picha zaidi za muonekano mpya wa Wema Sepetu baada ya kunyoa nywele + maoni ya wasomaji

Inaonekana uamuzi wa Wema Sepetu kubaki natural baada ya kunyoa nywele zake umepokelewa vizuri na mashabiki wake. Jana tulipost habari na picha za mrembo huyo aliyeamua kuzikata nywele zake na kuomba wasomaji wetu watuambie muonekano wake mpya ukoje ambapo asilimia kubwa wanasema kapendeza. Haya ni maoni ya wasomaji wetu + picha zaidi za mrembo huyo alivyo sasa.

9121cf8c8c0311e2adbf22000aaa04d4_7

ac8062488c0311e2a74822000a9e2993_7

4589f7e88c0d11e2b3d922000a9f309f_7

Amor Khaled • Air Hostess Academy

Waooo!nimeipenda hiyo mamy usiweke tena lace wig

Zion Simon

Cute looking Wema ….love it.

Millie DaSh Denyc • Kifungilo Girls Secondary School

lukn different bt ok

Julieth Johnson

Looking good

Lumba Malila Operation service at Hyatt Regency the Kilimanjaro Dar Es Salaam

she lk gd.

Ali Bajaber Bajaber • Works at Jihan Freighters Ltd

ti be real I dnt think u luk woooooooooow as pple r sayng, u look mre sexy nd beautiful wth long hair cz u nw how to do the styles wth lng hair but these new look dnt suite u at all.real talk.

Zainab Mcheka • Nurse and Tutor at Dar_es_salaam police academy

umependeza sanaaaaaaaaaaaaaaaaa!kuliko ukiweka minywele ya bandia.

Mark Bryson

Duuh… Ww mtoto, hata ukivaa magome ya miti unakimbiza2.

Mickas Mickas
No only smart, you are beautiful and cute. I love it.

Esmilee Jacko • Marketing Manager at Super Diego Investment(SDI)

Wonderful get back Enzi zako be a African Lady!!

John Kundi • Follow • Institute of Finance Management, Dsm

umependeza sana na ubakie ivyo ivyo…

Vincent Kulaya • IFM – Institut für Managementlehre

Sooooooooooo cute…

Sophie Blass • Company Secretary at BRETT & BEILEYS

she stil lukin gud kama kawaida yake.

Amoul Mustapher • Jabal Hira

Kapoteza rang yake ya asili

Barick Mtery • Works at Barick & company ltd

pendeza xana…

Irene Sozigwa

she look cute.

Wema Mshana Tumaini University
nice mamito

Bluebell Omari

u luk ugly

J Classic Didah
Nice!

Justine Teyanga • Mwalimu at Working at Ardhi University-Tanzania
nice

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents