Habari

Picha za Red Carpet: Usiku wa Love, Melodies & Lights Leaders Club Dar

Hizi ni picha za Red Carpet ya show ya Love, Melodies & Lights iliyofanyika Jumamosi hii katika kiwanja cha Leaders Club jijini Dar es salaam.

Idris akiwa na watu wake wa karibu

Usiku huo ulipambwa na waimbaji wawatu, Ben Pol, Jux pamoja Barakah The Prince huku surprise zikitawala. Angalia picha za Red Carpet.

Madee, Dogo Janja pamoja na wadau wengine

 


Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents