Picha

Picha ya Siku: Hivi ndivyo Shaa angefanya kama Lava Lava ingepata hits 100,000 ndani ya siku 1

April 8, Shaa alitweet, “Lava Lava Video imefikisha views 44,000+ leo ikifikisha 100,000 naenda kuogelea coco beach mchana kweupe lets do. Hata hivyo hits 100,000 hazikufika. Lakini mchoraji wetu, Dennis aka Kapwipwi ameamua kutuonesha jinsi muonekano wa Shaa ungekuwa iwapo hits hizo zingefika na kutimiza ahadi yake. Ingia ndani kuona picha hiyo.

shaa4

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents