Burudani

Picha ya Diamond na Zari wakinyonyana ndimi yasambaa mtandaoni

Baada ya maneno kusemwa juu ya staa wa ‘Number 1’ Diamond Platnumz na binti mrembo wa Uganda, Zari ‘the boss lady’ kuwa huenda wakawa na kitu kinaendelea zaidi ya kazi, picha ya wawili hao wakila ‘denda’ imesambaa mtandaoni.

zari2
Zari The boss lady

zadi
Picha ya Diamond Platnumz na Zari iliyosambaa mtandaoni, huku Zari akiwa amevaa kofia ya Diamond.

diamond n zari3
Zari, Le mutuz na Diamond

Zari na Diamond walianza kutawala vichwa vya habari wiki mbili zilizopita baada ya kupost picha wakiwa kwenye ndege wakitokea Afrika Kusni kuja Tanzania.na baadae picha zingine za ukaribu zaidi walizopost ziliongeza ‘petrol ‘ kwenye moto wa tetesi kuwa wawili hao ni wapenzi hasa katika kipindi ambacho inasemekana Diamond na Wema wana matatizo kwenye uhusiano wao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents