Picha: Wema Sepetu ‘apost’ picha zenye utata Instagram


Pin It

wema 1

Miezi ya hivi karibuni magazeti ya udaku yamepunguza kumwandika vibaya Wema Sepetu lakini kwa picha hizi tunahisi yanaweza kuanza tena kwa kishindo! Hizi ni picha alizozipost kwenye mtandao wa Instagram na kuandika: Gats to lose me a few more pounds!!

wema 44

“Tsup wema…….ur such a beautiful and attravtive lady.my day is not ova without checking ur photos.wish to meet & spend a day with u,” ameandika mmoja wa watu waliona picha hizo.

Pin It

Add a comment

comments