Burudani

Picha: Wema Sepetu aivaa jezi ya Michael Jordan (23), asherehekea Eid na shemejiye, Dimpoz

Wema Sepetu ni shabiki wa mchezaji wa zamani wa kikapu wa timu ya Chicago Bulls, Michael Jordan?

10584756_795884433789424_120973450_n

Mapenzi yake kwa mchezaji kikapu huyo tajiri, yameonekana kwenye picha alizopiga wiki hii (kama sio Jumanne hii) akiwa amevaa jezi nyeupe ya Chicago Bulls yenye namba 23, namba aliyokuwa akitumia Jordan. Jezi hiyo imempenza zaidi Mrs Naseeb baada ya kuisindikiza na tight yekundu na chini akipigilia sneakers kali.

10549647_1447884775497603_694794132_n

Wema alikuwa akispend sikukuu ya Eid na shemeji yake, Ommy Dimpoz aliyekuwa amevaa kanzu.

10576233_1547200692174524_1420577937_n

10575986_645861335521175_1613503276_n

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents