BurudaniWema Sepetu

Picha: Wema amchukua Gabo kwenye filamu yake mpya

Msanii wa filamu, Wema Sepetu amemtafuta mkali wa filamu ya ‘Bado Natafuta’ Salim Ahmed aka Gabo na kuanza kuanda filamu mpya itayokuwa chini ya kampuni yake ya Endless Fame Film.

Wema na Gabo

Akizungumza na bongo5, Gabo amesema tayari wameshaanza kushoot filamu hiyo.

“Kuna kazi ya filamu tunafanya mimi na Wema,ambayo ipo chini ya Endless Fame Film, kwahiyo ni ya Wema. Wema alinitafuta akasema tufanye kazi, ndio ambayo tunafanya,” alisema Gabo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents