Burudani

Picha: Washiriki EATV Awards watoa ujumbe kwa wanafunzi UDSM

Wasanii wanaowania Tuzo za EATV leo wamefichua siri ya mafanikio yao mbele ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Kampasi ya Mlimani), huku wakiwataka wanafunzi hao kujiamini na kutumia vile kile walichonacho ikiwa ni pamoja na elimu yao.
kajala-masanja
Kajala Masanja

Wasanii hao wamekutanishwa na wanafunzi kupitia kampeni ya ‘Ready To Work’ ambayo inaendeshwa na Benki ya Barclays Tanzania ikiwa na lengo la kuwawezesha vijana hususani wanafunzi ambao wana matarajio ya ajira, kujiandaa vizuri kuingia kwenye soko la ajira.

Katika tukio hilo ambalo lilikuwa likirushwa LIVE kupitia Wanafunzi hao wamepata fursa ya kuwauliza wasanii hao maswali, na wao kuwajibu huku wakieza safari ya mafanikio.

Baadhi ya wasanii waliofika ni pamoja na Kajala Msanja, Daudi Michael, Lady Jay Dee, Feza Kessy, Shetta, Meya Shabani, Khadija Ally, Man Fizo, Racheal Bituro, Ruky Beiby.

lady-jay-dee
Lady Jay Dee

img_0988
Afisa masoko wa Barclays Joe Bendela

img_0993

img_1010

img_1023

img_1028

img_1031

img_1032

img_1037

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents