Picha

Picha: Wasanii watano wa Tanzania wanaofanana na mastaa wa Marekani!

HOWARD NA CYRILL

Wanasema duniani wawili wawili sio? Kwa jicho letu hawa ni wasanii watano wa Tanzania wanaofanana na mastaa wa Marekani.

1. Cyrill Francisco aka Kamikaze na Dwight Howard (mchezaji wa timu ya kikapu ya Los Angeles Lakers). Picha ni hapo juu.

2. MwanaFa na rapper Fabolous

MWANAFA NA FAB

3. Godzilla na 50 Cent

GODZILLA NA 50 CENT

4. Quick Rocka na T-Pain

T-PAIN NA QUICK

5. Amini na Joe Thomas

AMINI NA JOE

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents