Habari

Picha: Wasanii watakaotumbuiza kwenye Serengeti Fiesta Moshi waahidi makamuzi ya nguvu

Wasanii wanaotarajia kupanda katika jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 Jumamosi hii mjini Moshi wameahidi show ya nguvu. Wenyeji wa mkoa wa Kilimanjaro, Mh Temba na Nay wa Mitego nao wamewaomba wakazi wa mkoa wao huo kwenda kwa wingi kwenye show hiyo.

“Unajua unapokuwa mwenyeji lazima uwape waliokuja kukusapoti burudani ambayo inastahili, kwahiyo hatutawaangusha ndugu zetu waje tu waone ndugu zao tutakachokifanya tunataka kufunika home, “walisema hayo wakati wakihojiwa kwenye kituo cha radio cha Moshi FM.

Wasanii wengine watakaokuwepo ni Recho,Chege,Dully Sykes,Feza Kessy, Alikiba,Maua Sama,Roma,Fid Q,Stamina,Shaa,Lamar na wengine.

IMG_5068
Lamar

IMG_5052

Shaa na Chege

IMG_5056

Adam Mchomvu

IMG_5060

Mapacha

IMG_5062

IMG_5066

Mh Temba atakuwa kiwanja cha home

IMG_5067

Chege

IMG_5069

Dully Sykes

IMG_5073

Recho

IMG_5032

Nay wa Mitego naye atakuwa home

IMG_5036

Stamina

IMG_5041

Roma Mkatoliki

IMG_5045

Alikiba

IMG_5051

Fid Q

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents