Burudani

Picha: Wasanii wamtembelea Mzee Njenje, Tanga, azungumzia alivyopatwa na Kiharusi

Msanii mkongwe wa muziki nchini anayetambulika kwa kazi yake kupitia Kilimanjaro Band, Mzee Njenje anayesumbuliwa na ugonjwa wa kiharusi ametembelewa na wasanii mbalimbali wanaopanda Jumamosi kwenye Serengeti Fiesta 2014 mjini Tanzania na kuzungumza naye kuhusiana na afya yake pamoja na kupata nasaha zake.

Ali Kiba akiwa na Njenje nyumbani kwake
Ali Kiba akiwa nyumbani kwa Mzee Njenje, Sahare Tanga

Akizungumza na waandishi leo akiwa nyumbani kwake maeneo ya Sahare Tanga Mzee Njenje amesema anashukuru Mungu kwakuwa sasa hivi anaendelea vizuri japo mwili hauna nguvu.

“Mimi nimepata stroke, sio kali kabisa lakini imeniathiri upande wa kushoto, mguu na mkono, sio mwili wote ni baadhi tu, ni mguu na mkono tu, sehemu ya kichwa iko safi,” amesema. “Hivi juzi nilikwenda nikafanya kukumbuka ya nyimbo zangu nikakumbuka nyimbo zangu kumi, ndio maana nikasema bado nipo strong ni mguu tu unaonisumbua unakuwa na ganzi. ”

Barnaba akizungumza na Njenje
Barnaba akizungumza na Mzee Njenje

“Nimeanza kuumwa tangu tarehe 9 December, tarehe ambayo nilienda kufanya show pale Escape, nilikuja nikaperform nikarudi nyumbani alfajiri nimeamka nikaenda chooni nikasikia mwili hauna nguvu,” ameongeza. “Lakini nashukuru sikuanguka, nilikaa kwenye kiti cha choo, wakanipeleka hospitali lakini baadaye nivyotoka hospitali wakaja jamaa kunifanyia massage. Hiyo ndio iliyoniumiza walitumia nguvu sana, kwahiyo wakawa wamenirudisha nyuma, lakini nashukuru kuna bimkubwa mmoja ndo ananisaidia sana. Mpaka sasa hivi bado nashindwa kujisaidia mwenyewe ingawa nazungumza vizuri.”

Baada ya kumjulia hali Mzee Njenje, wasanii walielekea kufanya interview katika kituo cha radio cha Breeze FM.

Tazama picha za matukio yote.

Jux na Edu Booy
Jux na Edu Boy

Jux na Njenje
Jux na Njenje

Linah, Blue pamoja na Njenje
Linah, Blue pamoja na Mzee Njenje

Mr Blue
Mr Blue

Mzee Njenje akizungumza kuhusu hali yake
Mzee Njenje akizungumza kuhusu hali yake

Njenje akiwa na Shadee
Mzee Njenje akiwa na Shadee

Ommy Dimpoz akiwa na Njenje
Ommy Dimpoz akiwa na Njenje

Recho, Njenje na Linah
Recho, Mzee Njenje na Linah

Stamina akiwa na Young Killer nyumbani kwa Njenje
Stamina akiwa na Young Killer nyumbani kwa Mzee Njenje

Vanessa akiwa nyumbani kwa Njenje
Vanessa akiwa nyumbani kwa Mzee Njenje

Vanessa Mdee
Vanessa Mdee

Wasanii mbalimbali wakielekea kumtakia hali Njenje
Wasanii mbalimbali wakielekea kumtakia hali Mzee Njenje

Watoto wakiwa na Linah
Watoto wakiwa na Linah

IMG_4132

IMG_4133

IMG_4134

IMG_4136

IMG_4145

IMG_4168

IMG_4193

IMG_4201

IMG_4202

IMG_4207

IMG_4214

IMG_4215

IMG_4221

IMG_4222

IMG_4223

IMG_4225

IMG_4227

IMG_4233

IMG_4234

IMG_4235

IMG_4236

IMG_4239

IMG_4241

IMG_4244

IMG_4247

IMG_4251

IMG_4257

IMG_4259

IMG_4261

IMG_4262

IMG_4268

IMG_4274IMG_4274

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents