Burudani

Picha: Wasanii wa Fiesta wahudhuria arobaini ya Mama Tunda Moro

Wasanii walioenda Morogoro kwaajili ya Fiesta, Jumapili hii mchana walienda nyumbani kwa Afande Sele mjini humo kuhudhuria arobaini ya aliyekuwa mke wake, Mama Tunda na kumpa pole. Hizi ni picha zao.

Afande Sele akiongea na wasanii na kuwashukuru kwa kufika katika arobain ya Mama Tunda
Afande Sele akiongea na wasanii na kuwashukuru kwa kufika katika arobaini ya Mama Tunda

Afande Sele akiwa na watoto wake Mkubwa anaitwa Tunda na mdogo Sanaa
Afande Sele akiwa na watoto wake, mkubwa anaitwa Tunda na mdogo Sanaa

Afande akisaliamna na Michuzi
Afande akisaliamna na Michuzi

Afande akisalimiana na Linah na Vanesa Mdee
Afande akisalimiana na Linah na Vanessa Mdee

IMG_8340

IMG_8342

IMG_8343

IMG_8348

IMG_8360

IMG_8362

IMG_8366

IMG_8367

IMG_8374

IMG_8375

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents