Burudani

Picha: Wasanii wa bongofleva wawasili uwanja wa Taifa tayari kwa mechi ya kuchangia waathirika wa tetemeko Kagera

Wasanii wa muziki wa bongofleva pamoja na wasanii wa bongo movie amewasili uwanja wa taifa muda huu kwa ajili ya mechi ya kuchangia waathirika wa tetemeko Kagera.
wasani-wa-muziki
Wasanii wa muziki

Kapteni wa timu ya wasanii wa bongofleva, H.Baba amehaidi kununua kila goli litalofungwa tsh 100,000.

Mechi kati ya wasanii wa muziki wa bongofleva pamoja na wasanii wa bongo movie inatarajiwa kuwa na msisimko wa aina yake kutokana na timu ya bongo movies kufunga katika mechi zao tatu za mwisho. Angalia picha.

Pia kutakuwa na mechi nyingine kati ya wabunge mashabiki wa simba pamoja na wabunge mashabiki wa Yanga.

waziri-mwigulu-nchemba

20160925_140335

20160925_140350

20160925_140357

20160925_140433

20160925_140903

20160925_140911

20160925_141147

20160925_141154

20160925_141541

20160925_141825

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents