Michezo

Picha: Wasanii wa bongofleva waibuka washindi katika mechi ya kuchangia waathirika wa tetemeko Kagera

Wasanii wa muziki wa bongofleva wameibuka washindi kwa penati tano kwa nne dhidi ya wasanii wa bongomovie katika mechi ya hisani kwa ajili ya kuwachangia waathirika wa tetemeko la ardhi Bukoba.
bongofleva-wakishangilia-ushindi
Wasanii wa bongofleva wakishangia ubingwa wao

Mechi hiyo ilimalizika kwa timu hizo kutoka sare ya moja moja, magoli yaliyopatika katika kipindi cha kwanza. Goli la wasanii wa bongo movie lilifungwa na Mteze na dakika chache baadae H.Baba aliweza kuisawazishia timu yake kwa goli la kichwa.

Katika mechi nyingine kati ya wabunge wa Yanga na wabunge wa Simba, wabunge wa Yanga waliondoka na ushindi baada ya kuwafunga wabunge wa Simba goli 5 kwa 2. Angalia picha za matukio mbalimbali.

nape-akisalimiana-na-young-killer-msodoki
Young Killer akisalimiana na Waziri, Nape

wasanii-wa-bongofleva-wakishangilia-goli
Wasanii wakishangilia goli

washindi
Washindi

full-shangwe-ubongoflevani
Full shangwe

golikipa-wa-timu-ya-bongofleva-tunda-man-akijaribu-kuokoa-mkwaju-wa-penati
Tunda Man katika ubora wake
baby-j-akiwa-na-mtu-wake-wa-karibu
Baby Jay akiwa na mtu wake wa karibu
godzilla-akijiandaa
King Zilla

mashabiki
Mashabiki

img_1316

img_1325

img_1327

img_1361

img_1391

img_1394

img_1395

img_1433

img_1435

img_1437

img_1438

img_1439

img_1442

img_1443

img_1444

img_1465

img_1468

img_1470

img_1486

img_1487

img_1489

img_1491

img_1510

img_1519

img_1543

img_1544

img_1545

img_1546

img_1559

img_1569

img_1609

img_1611

img_1612

img_1613

img_1623

img_1631

img_1637

img_1649

img_1651

img_1656

img_1695

img_1701

img_1708

img_1709

img_1751

img_1752

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents