BurudaniDiamond PlatnumzWema Sepetu

Picha: Wakati Diamond na Wema wakila bata Mtwara, hivi ndivyo VJ Penny anavyoitumia weekend yake

Inaonekana Penny Mungilwa haumizwi na good times alizonazo ex wake Diamond na mwandani wake Wema Sepetu.

916488_635064799907874_1104612564_n
Wema na Diamond wakiwa Mtwara

Kukufanya uelewe zaidi ni kuwa Penny ameshamove on… So wakati Weimond wakila bata Mtwara, Penny amekuwa akijiandaa kwenda hewani kama mtangazaji wa kituo kipya cha redio cha Dar es Salaam, EFM.

cdaf44ccd2aa11e3a1050002c9c709a2_8

“EFM 93.7 Dar es salaam… Wazungu wanasema??!!’ Coming soon,” ameandika Penny kwenye picha anayoonekana akiwa ndani ya studio za kituo hicho cha redio.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents