Burudani

Picha: Vanessa Mdee na Abby walivyojiachia na Wizkid kwenye All-White Yacht Party

Baada tu ya tuzo za MTV MAMA jijini Durban, SA, Wizkid aliandaa party ya nguo nyeupe tu na kualika mastaa kibao.

891419_1630829000507354_700614494_n
Vanessa Mdee na Abby ni miongoni mwa mastaa waliohudhuria party hiyo

Vanessa Mdee na mtangazaji wa Choice FM, Abby waliungana na staa huyo wa Nigeria kwenye yacht (boti) kula bata kwenye party hiyo. Chini ni baadhi ya picha.

11426353_1349788151718338_595925514_n

11243957_742060452586460_746199459_n

11385578_1603973173196001_1937716374_n

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents