Habari

Picha: Uzinduzi wa kipindi cha radio (igizo) cha ‘Shuga’ – Biafra Kinondoni

Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) kwa kushirikiana na na NICEF na kituo cha radio cha Clouds FM, leo kimezindua igizo la radio liitwalo ‘Shuga Radio. Uzinduzi huo umefanyika kwenye viwanja vya Biafra Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Wadau wakimsikiliza Kamishina wa Taifa wa TACAIDS  Miss Faraja Kota
Wadau wakimsikiliza Kamishina wa Taifa wa TACAIDS Miss Faraja Kotta

Igizo hilo linawalenga vijana wa Tanzania likiwa na ujumbe kuhusu virusi vya HIV na Ukimwi.
Shuga lenye series 12 litakuwa likirushwa Clouds FM saa 8 mchana kila Alhamis na kupitia Kitulo FM iliyopo wilayani Makete, Njombe.

Shuga Radio inalenga kuwafanya vijana wajihusishe kwenye mazungumzo kuhusi HIV na Ukimwi kupitia burudani na elimu kuelezea tabia hatarishi za ngono katika jitihada za kupunguza maambukizi mapya miongoni mwao.

Mgeni rasmi kwenye uzinduzi huo alikuwa Mwenyekiti wa Dr. Fatma Mrisho aliyesema uzinduzi wa Shuga Radio ni wa muda muafaka na muhimu nchini kutokana na kuongezeka kwa maambukizi ya HIV.

Watu mbalimbali ambao waliudhuria uzindizi wa kipindi cha Shuga ambacho kitaruka clouds Fm
Watu mbalimbali ambao walihudhuria uzinduzi wa kipindi cha Shuga ambacho kitaruka clouds Fm

Wadau wakiulinzwa maswali kuhusu Ukimwi

Uzinduzi umefanyika
Uzinduzi umefanyika

Uzindinduzi wa kipindi cha Shuga umefanyika

Faraja Kota na Mkurugenzi Mkuu wa clouds media group.
Faraja Kota na Mkurugenzi Mkuu wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga

Kamishina wa vijana wa Taifa wa  TACAIDS
Kamishina wa vijana wa Taifa wa TACAIDS

Msanii toka THT Mataluma akitoasho kwenye uzinduzi wa kipindi cha Shuga Clouds Fm
Msanii toka THT Mataluma akitumbuiza kwenye uzinduzi wa Shuga

Nancy Sumari akiongea jambo na Faraja Kotta baada ya uzinduzi wa kipindi cha shuga
Nancy Sumari akiongea jambo na Faraja Kotta baada ya uzinduzi wa kipindi cha Shuga

Nancy Sumari na Faraja Kota katikati
Nancy Sumari na Faraja Kota, katikati

Faraja Kota na baadhi ya wadau wakicheza

DSC_4225

DSC_4222

DSC_4214

DSC_4210

DSC_4199

DSC_4200

DSC_4205

DSC_4208

DSC_4209

DSC_4188

DSC_4189

DSC_4190

DSC_4193

DSC_4196

DSC_4170

DSC_4171

DSC_4177

DSC_4179

DSC_4185

Baadhi wa wadau wakizawadiwa T.shirt

Dances wa THT wakitoa show baada ya uzinduzi wa Kipindi cha Shuga

Dances wa THT wakitoa show baada ya uzinduzi wa Kipindi cha Shuga

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents