Mitindo

Picha: Usahili wa wanamitindo wa Swahili Fashion Week wafanikiwa

Usahili wa wanamitindo watakaoshiriki kwenye Swahili Fashion Week ulifanyika jana katika Hotel ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam
IMG_3464

Wanamitindo mbalimbali wavulana kwa wasishana walionyesha uwezo wa kutembea na kuwafanya majaji wa usahili huo kupata wakati mgumu wa kuwachaguwa wazuri zaidi kutokana wanamitindo wengi kuonyesha kujipanga. Hata hivyo majaji walifanikiwa kuwapata vijana 30 ambao ni wazuri zaidi watakaonyesha mavazi ya wabunifu mbalimbali katika swahili fashion week. Tazama picha hizo hapa.

Majaji ambayo wakifanya usahili wa wanamitindo hapo jana,haikuwa kazi rahisi
Majaji wakifanya usahili wa wanamitindo hapo jana,haikuwa kazi rahisi

Majaji wakimuuliza maswali mwanamitindo.
Majaji wakimuuliza maswali mwanamitindo

Mustafa Hasanali akimtambulisha mwanamitindo wa kimataifa,ambae pia ni jaji wa usahili huo.
Mustafa Hasanali akimtambulisha mwanamitindo wa kimataifa aliyekuwa pia ni jaji wa usahili huo

Mustafa Hasanali akitafakari jambo katika usahili wa wanamitindo.
Mustafa Hasanali akitafakari jambo katika usahili wa wanamitindo

Vijana ambao walijitokeza kwenye Model Casting ya swahili fashion week.
Vijana waliojitokeza kwenye usahili

Wanamitindo ambao wamepita katika usahili huo.
Wanamitindo waliopita katika usahili huo

Wanamitindo wakifanyiwa usahili.
Wanamitindo wakifanyiwa usahili

Wanamitindo wakionyesha wao.
Wanamitindo wakionyesha jinsi wanavyotembea

IMG_3443

IMG_3430

IMG_3437

IMG_3438

IMG_3440

IMG_3443

IMG_3445

IMG_3463

IMG_3464

IMG_3473

IMG_3420

IMG_3425

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents