Habari

Picha: Ukuta wa stand ya Ubungo waanguka, wajeruhi watu 4 na kuharibu magari 24

5

Leo alfajiri ukuta wa stand ya mabasi yaendayo mikoani ya Ubungo jijini Dar es Salaam, umeanguka na kuzusha hofu kubwa kwa wasafiri.

Inadaiwa kuwa watu wane wamejerahiwa huku magari 24 yaliyokuwa yameegeshwa mahali hapo yakiharibika vibaya.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Charles Kenyela alikuwepo kwenye eneo la tukio hilo ambapo alizungumza na waandishi wa habari.

Chanzo cha ajali hiyo ni mkandarasi aliyekuwa akibomoa ukuta huo bila kuchukua tahadhari. Hizi ni baadhi ya picha za tukio hilo kwa hisani ya mtandao wa Global Publishers.

Hasara!!!
Hasara!!!
Wananchi wakiwa eneo la tukio
Wananchi wakiwa eneo la tukio

4

Moja ya gari lililopondwa na ukuta huo
Moja ya gari lililopondwa na ukuta huo

8

9

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents