Burudani

Picha: Tyga mzawadia gari mpenzi wake Kylie Jenner kwenye birthday yake

Rapper Tyga amempa mpezi wake Kylie Jenner zawadi ya gari mpya aina ya Maybach kwenye siku yake ya kuzaliwa akiwa anafikisha miaka 19.

Tyga alimpatia mpenzi wake huyo zawadi kupitia kampuni inayotoa magari kwa watu maarufu ya Richie Rich, na gari hio imelipiwa dola laki mbili na mbili na elfu ishirini.

Kylie anafikisha miaka 19 mnamo August 10.

0806-kylie-jenner-maybach-tmz-4

Hii inakuwa ni mara ya pili kwa Tyga kumpatia mpezi wake huyo gari kwani Mwaka jana alipofikisha miaka 18, alimpa gari aina ya Ferrari 458 convertible.

tyga-kylie-gift-car

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents