Kampuni ya GONGA Parties May 30 ilikuwa imeandaa Traffic Light Party (TLP) ambayo lengo lake ilikuwa ni kuelezea hali za uhusiano za watu mbalimbali kwa njia ya rangi za taa za barabarani, Nyekundu, Nyano na Kijani.
Waliohudhuria walivaa nguo za rangi kutokana na hali za uhusino wao:(RED – Married/taken, YELLOW – Complicated/undecided and GREEN -SINGLE). TLP imefanyika Golden Jubilee jijini Dar es Salaam na hizi ni baadhi ya picha.