Burudani

Picha: Teddy Kalonga ashiriki kwenye kampeni moja na Jennifer Lopez, Jimmy Kimmel na mke wa John Legend, Chrissy Teigen

Aliyewahi kuwa mtangazaji wa EATV, Teddy Kalonga Haight aka TK ambaye kwa sasa anaishi nchini Marekani, ameshiriki kwenye kampeni moja pamaja na mastaa wa Marekani wakiwemo Jennifer Lopez, mtangazaji na mchekeshaji Jimmy Kimmel, mke wa John Legend, Chrissy Teigen na mastaa wengine wa Marekani kwenye kampeni ya Live L.A. Give L.A.

lcJgPsaj

Kampeni hiyo inawataka wakazi wa Los Angeles Marekani kuchangia hospitali ya watoto jijini humo.

WHGRr7Co
Bango la kampeni hiyo lenye picha ya Teddy na mwanae likionekana kwenye mitaa ya jiji la Los Angeles

IzTGwunu
Jennifer Lopez

Mtyqjuf3
Jimmy Kimmel

A0X7u0qo
Chrissy Teigen

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents