Picha

Picha: Tazama magari ya kifahari yanayomilikiwa na wanafunzi wa chuo cha Dubai, ‘World’s richest students?’

Wakati wanafunzi wengine wa Tanzania wanashindwa hata kufanya mitihani yao kwa kushindwa kukamilisha ada sababu hawakuweza kupata mikopo ya Serikali, eneo la maegesho ya magari la chuo cha Dubai ‘American University in Dubai’ (AUD) kila siku hujaa magari ya kifahari tena ya brand kubwa kubwa duniani kama Ferrari, Rolls-Royce, Aston Martin, Range Rover na mengine, magari hayo siyo ya wageni, yote ni ya wanafunzi tena undergraduates.

d-2
Rolls Royce

Mwanafunzi mmoja wa chuo hicho aitwaye Meeka Nasser, aliamua kuudhihirishia ulimwengu kuwa inawezekana kabisa chuo cha AUD kikiwa ndicho chenye wanafunzi matajiri zaidi duniani, kama tukitumia ule msemo wa kuhukumu kitabu kwa cover lake.

Student cars at the American University of Dubai - 16 Dec 2013
Ferrari

Mwanafunzi huyo alisema “Nilisoma American University of Dubai na magari wanayoendesha wanafunzi are just ludicrous. Kama ningekuwa nyumbani kwetu Canada gari yangu ingekuwa inaonekana ‘nzuri tu’, lakini hapa hakuna ambaye angeitazama mara mbili”. Alisema.

d-10
Rolls Royce na Maserati

Picha za magari yote amezipiga kwa siku tofauti lakini katika eneo moja la maegesho ya magari ya chuo hicho, na kuongeza kuwa picha hizo hazikaribii hata nusu ya magari mazuri ya wanafunzi wote wa chuo hicho, haya ni baadhi tu aliyoamua kushare.

d-6
A Lamborghini Gallardo LP 570-4 Superleggera

Ameongeza kuwa wanafunzi wa chuo hicho ni wa umri wa kati ya miaka 18 na 24, na wanafunzi wanaomiliki magari hayo siyo wa kutoka nje ni raia wa ndani (Emirati). American University ya Dubai ni chuo cha binafsi kilichoanzishwa mwaka 1995.

d-30
Range Rover

d-4
A Porsche Cayenne

d-19
Bentley

d-11
Maserati

d-20
Mercedes ML63

d-1
Bentley

d-9
Mercedes

d-12
Audi R8

d-13
Porsche Cayenne GTS na Ferrari

d-14
Audi R8

d-15
Aston Martin Vantage S na Mercedes

d-16
Audi R8

d-17
Mercedes SLS

d-21
Chevrolet

d-22
Nissan GTR Skyline

d-24
Ford F-150 pick-up

d-25
BMW

d-26
Ferrari

d-27
Rolls Royce

d-28
blue Audi R8

d-29
Mercedes G Wagon

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents