Burudani

Picha: Tamasha la Lady in Red lafanyika Dar Jumamosi

Jumamosi hii kwenye ukumbi wa King Solomon lilifanyika tamasha la mitindo la Lady in Red ambalo huandaliwa kila mwaka na designer mkongwe nchini Asia Idarous.

Tamasha hilo lilihudhuriwa na madasigner wakongwe akiwemo Mustafa Hassanali, Martin Kadinda na Ali Remtullah. Tazama picha zaidi hapa chini.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents