Burudani

Picha: Tafrija ya kuzindua kipindi cha Sintah

Actor, Mtangazi wa Radio na sasa TV, Sintah John, karibuni alizindua rasmi kipindi chake kipya cha TV kiitwacho ‘Harusini na Sintah’ katika sherehe ndogo iliyofanyika katika kiota cha Hoteli ya Regency Park huku akipewa kampani na washkaji zake wa karibu na wadau wa masuala ya mitindo na urembo.

Kipindi hicho kilianza kuonekana Jumanne majira ya saa tatu usiku na kitakuwa kinaruka hewani kila siku za Jumanne saa tatu usiku kamili katika kituo cha luninga cha DTV.

Fuatilia picha hapa:

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents