Burudani

Picha: Sitti Mtemvu atwaa taji la Redd’s Miss Tanzania 2014

Mrembo kutoka Temeke, Sitti Mtemvu ametwaa taji la Redd’s Miss Tanzania 2014, katika shindano lililofanyika Jumamosi, usiku wa (11 October) katika ukumbi wa Mimani City jijini Dar es Salaam.

IMG_5055
Mshindi wa Redds Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu (katikati) akiwa na mshindi wa pili Lilian Kamazima pamoja na watatu Jihan Dimachk

Kutokana na ushindi huo Sitti amejishindia zawadi ya shillingi milioni 18 na pia kupata fursa ya kuipeperusha bendera ya Tanzania kwenye shindano la Miss World 2015.

IMG_5069
Sitti Mtemvu akikabidhiwa hundi ya shilingi milioni 18 ambayo inadaiwa ilikosewa kuandikwa

Nafasi ya pili ilichukuliwa na Lilian Kamazima na Jihan Dimachk akiambulia nafasi ya tatu.

Nafasi ya nne ilienda kwa Dorice Mollel na Nasreen Abdul akishika nafasi ya tano. Tazama picha za matukio mbalimbali pamoja na show ya Ommy Dimpoz na Vanessa Mdee.

IMG_5031
Redds Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa akiwa amekalia kiti chake kabla ya kumkabidhi miss mpya

IMG_5044
Redds Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa akimkabidhi taji Redds Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu

IMG_5076
Redds Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu

IMG_4914
Mkurugenzi wa shindano la Redds Miss Tanzania Hashim LuNdenga akiweka mambo sawa

Washiriki wa Redds Miss Tanzania walioingia kumi na tano bora
Washiriki wa Redds Miss Tanzania walioingia kumi na tano bora

IMG_4870
Washiriki wa Redds Miss Tanzania 2014 wakionyesha uwezo wa kusakata rhumba

Ommy Dimpoz akifanya yake
Ommy Dimpoz akifanya yake

Vanessa Mdee akifanya show
Vanessa Mdee akifanya show

JB akishangilia
JB akishangilia

IMG_4875

IMG_4923

IMG_4925

IMG_4933

IMG_4935

IMG_4946

IMG_4947

IMG_4977

IMG_5027

IMG_5029

IMG_5035

IMG_5037

IMG_5043

IMG_5058
IMG_4821

IMG_4855

IMG_4915

IMG_4938

IMG_4941

IMG_4943
IMG_4800

IMG_4808

IMG_4809

IMG_4812

IMG_4813

IMG_4814

IMG_4816

IMG_4817

IMG_4818

IMG_4819

IMG_4820

IMG_4822

IMG_4824

IMG_4829

IMG_4831

IMG_4832

IMG_4833

IMG_4835

IMG_4839

IMG_4840

IMG_4841

IMG_4842

IMG_4843

IMG_4844

IMG_4848

IMG_5007

IMG_5013

IMG_5014

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents