Burudani

Picha: Show ya Birthday ya THT – Dar Live

Jana katika viwanja vya Dar Live palikuwa hapotoshi baada ya wasanii wa Tanzania House of Talent na wengine walipofanya show ya kutimiza miaka saba ya kuanzishwa kwa THT katika viwanja vya Dar Live. Wasanii waliotumbuiza ni pamoja na Mzee Yusuph,Ommy Dimpoz,Godzilla,Bibi Cheka,Dogo Aslay,Shetta,Jobiso na wengine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents