Burudani

Picha: Shilole aonesha tattoo mpya ya jina la ‘Nuh’ aliyochora kifuani

Shilole amewathibitishia mashabiki na ‘haters’ wake kuwa mapenzi yake na Nuh Mziwanda ni ‘Unstoppable’.

shishi-2

Staa huyo wa muziki na filamu ameonesha tattoo mpya aliyochora kifuani kwake yenye jina la mpenzi wake ‘Nuh’.

shishi

Katika post yenye picha hiyo Shishi ameandika “Lv ya ukweli inaongea”.

Mapenzi ya wawili hao yamekuwa yakikumbwa na dhoruba ya mara kwa mara lakini wameendelea kuwadhihirishia watu kuwa hawana dalili za kuachana kwasababu bado wa-’nakomaa na jiji’.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents