Habari
Picha: Serengeti Fiesta Morogoro ni shidaa!
Wasanii mbalimbali Jumapili hii, September 21 waliwaburudisha mashabiki wa muziki wao katika tamasha la Serengeti Fiesta mjini Morogoro. Stamina na Afande Sele ndio walikuwa wenyeji wa mkoa huo. Tazama picha za wasanii hao wakiwa jukwaani.