Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Picha

Picha: Serengeti Fiesta 2013, Tabora – Amini ambusu Linah jukwaani ‘Noma Sana’

By  | 

Wasanii lukuki wa muziki wa kizazi kipya usiku wa jana wamewapatia burudani wakazi wa Tabora kwenye show ya Fiesta iliyofanyika kwenye uwanja wa Ally Hassan Mwinyi. Miongoni mwa mambo yaliyozalisha shangwe la kufa mtu ni pamoja na Amini kumbusu mdomoni mpenzi wake wa zamani Linah waliyependa naye kwenye stage. Tazama picha za namna mambo yalivyokwenda.

Jonh makin akifanya show ya Serengeti fiesta 2013 ndani ya Tabora.Serengesti fiesta 2013 Tabora ilianza saa 12 jioni kutafuta washindi wa shindano la Serengeti super nyota na baada ya hapo burudani zilianza kudondoka

Amini na Linah wakikumbushiana kama zamani katika show ya Serengeti fiesta 2013 Tabora ndani ya uwanja wa Aly Hassan mwinyi.
Amini na Linah wakikumbushiana kama zamani

Amini na Linah
Amini na Linah

Amini
Amini

B12 Akifanya mambo ndani ya Serengeti fiesta 2013 Tabora.
B12 akifanya mambo ndani ya Serengeti Fiesta 2013 Tabora

Baba levo  ndani ya Serengeti fiesta 2013 Tabora.
Baba Levo

Baba vero

IMG_8320

IMG_8329
Peter Msechu

IMG_8343

IMG_8352

IMG_8357

IMG_8363
Makomando wakifanya yao

IMG_8364

IMG_8369

Jonh makin akifanya show ya Serengeti fiesta 2013 ndani ya Tabora.
Joh Makini

Jonh makin

Juma nature akiwa na Stoppe ndani ya Serengeti fiesta 2013 Tabora
Juma Nature akiwa na Stopper

Linah akiimba Serengeti fiesta 2013 Tabora
Linah akiimba

Nikki wa Pili akitoa show Serengeti 2013 fiesta Tabora.
Nick wa Pili

Peter Msechu ndani ya Serengeti fiesta Tabora.
Msechu

Recho akifanya show ya  Serengeti fiesta 2013 Tabora.

Wapenzi wa burudani wakiwa ndani ya uwanja wa  Ally Hassan Mwinyi ndani ya Serengeti fiesta Tabora.

IMG_8373
Abdul Kiba

IMG_8377

IMG_8382

IMG_8383
Wakazi wa Tabora wakifeel joto la Fiesta

IMG_8386
Young Killa aka Msodoki akiwapa Dear Gambe

IMG_8387

IMG_8395

IMG_8402
Stamina

IMG_8403

IMG_8421

IMG_8427
Shetta

IMG_8428

IMG_8433

IMG_8435

IMG_8440

IMG_8445

IMG_8447

IMG_8459

IMG_8461

IMG_8464

IMG_8465

IMG_8468

IMG_8470

IMG_8472

IMG_8480

IMG_8481

IMG_8485

IMG_8487

IMG_8502

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW