Burudani

Picha: Sebastian alivyosherehekea birthday yake na wazazi wake Wiz Khalifa na Amber Rose

Damu ni nzito kuliko maji. Jumapili ya February 19 ili kuwa ni siku ya sherehe ya kuzaliwa kwa Sebastian mtoto wa Wiz Khalifa na Amber Rose ambaye ametimiza miaka minne.

Wazazi hao japo wameshaachana lakini walionekana kufurahia pamoja siku hiyo na mtoto wao ambaye bado anazidi kuwaweka karibu. Tazama picha zaidi hapa chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents