Burudani

Picha: Runtown, Christian Bella, Navy Kenzo, Peter Msechu na Kala walivyotumbuiza kwenye BSS

Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Runtown akisindikizwa na wasanii wa Tanzania, Christian Bella, Navy Kenzo, Peter Msechu, Yamoto Band pamoja na Kala Jeremiah walitumbuiza kwenye fainali za shindano la Bongo Star Search (BSS) zilizofanyika katika ukumbi wa King Solomon uliopo Namanga, jijini Dar es Salaam.

Run Town akionyesha maujanja yake
Runtown akionyesha maujanja yake

Licha ya burudani hizo kutoka kwa wasanii hao wakubwa, pia wasanii wa BSS walioingia top 6, walishindana na kuonyesha uwezo wao hali iliyoleta msisimko katika ukumbi huo. Tazama picha zaidi hapo chini.

Angel Marry Kato akionyesha uwezo wake
Angel Marry Kato akionesha uwezo wake

Christian Bella
Christian Bella

Jackline Kakengi  ambae alianga mashindano
Jackqueline Kakengi alianga mashindano mapema

Kala Jeremah
Kala Jeremiah

Kayumba Juma
Kayumba Juma

Mashabiki wakimshangilia Christean Bella
Mashabiki wakimshangilia Christean Bella

Mshindi wa pili Nasib Fonabo akionyesha uwezo wake
Mshindi wa pili Nasib Fonabo akionyesha uwezo wake

Navy Kenzo wakionyesha uwezo
Navy Kenzo wakitumbuiza

Penny na mwenzake wakishauriana jambi
Penny na mwenzake wakishauriana jambo

Peter Msechu
Peter Msechu

Run Town
Runtown

Wakati nchujo ukiendelea
Wakati mchujo ukiendelea

Washindi wa dance mia mia mwaka 2014
Washindi wa dance mia mia mwaka 2014 nao walitumbuiza

Washindi wote walio ingia top six walizawadiwa simu aina ya Uhawei P8
Washindi wote walioingia top six walizawadiwa simu aina ya Huawei P8

Washiriki mbalimbali walionyesha uwezo wao
Washiriki mbalimbali walionyesha uwezo wao

Ya Moto Band
Yamoto Band

Yamoto Band

IMG_1059

IMG_1067

IMG_1095

IMG_1117

IMG_1127

IMG_1153

IMG_1170

IMG_1173

IMG_1175

IMG_1177

IMG_1181

IMG_1220

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents