Burudani

Picha: Rihanna alipojikuta anatazama game ya Basketball ambayo Chris Brown alicheza (mnuno!)

Wapenzi wa zamani ambao wamekuwa wakijaribu kukwepana kwa muda mrefu huku huenda mioyoni mwao bado wanahitajiana Chris Brown na Rihanna, Alhamisi hii (August 21) walikutana (bila kupanga) kwenye mechi ya mpira wa kikapu ‘2014 Summer Classic Charity Basketball’ huko New York.

RI3

Riri alikaa viti vya mbele kabisa akitazama game ambayo ex wake alikuwa akicheza pia, sasa tazama jinsi Riri alivyonuna na kujaribu kukwepa kumtazama Chris kila alipokatiza karibu na alipokaa.

RI5

Riri alitangazwa hadi kwenye flyer kuwa atahudhuria kama mgeni maalum,lakini mwimbaji wa ‘New Flame’, Breezy alitokea kama surprise.

Hii ni wiki ambayo pia Karrueche na Chris Brown wamepatana baada ya kuachana kwa muda, na pia Rihanna na Drake wameonekana tena pamoja kwenye club ya usiku baada ya kuzinguana kwa muda pia.

Ri8

Ri9

RI1

RI2

RI4

Ri6

Ri7

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents