Burudani
Picha: Red Carpet na Cocktail kwenye Tuzo za Watu 2015
Usiku wa kuamkia May 23 ilikuwa ni usiku wa kuwapata washindi wa vipengele 13 vya Tuzo za Watu zilizofanyika kwenye hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro. Chini ni picha za red carpet.