Burudani
Picha: Rapper Cyrill aringishia (flaunt) cheque ya shilingi milioni 46 Instagram
Havumi lakini yumo. Rapper anayetokea Singida, Cyrill Kamikaze amepost picha ya cheque ya benki ya shilingi milioni 46.
“Mara ya kwanza ilionekana ngumu but kuto kukata tamaa na juhudi nyingi imefanya kila kitu kionekane possible.. Being the youngest entrepreneur in the business but still kicking it .. Ukiweka nia kila kitu kinawezekana!! #mondayflow kaziniii #chequeissue #theywork #ipay #imotivate .. #singidaboy,” ameandika rapper huyo.