Siasa

Picha: Rais Kikwete aongoza Watanzania kwenye mazishi ya Sajuki

By  | 

Mamia ya wapenzi wadau, ndugu jamaa na marafiki wakiongozwa na mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete pamoja na baba mzazi wa Sajuki leo mchana wamehudhuria maziko ya msanii wa Filamu Juma Kilowoko (Sajuki) katika makaburi ya Kisutu Upanga jijini Dar-Es-Salaam.

Msanii huyo alifariki asubuhi ya jumatano ya tarehe 2 katika hospitali ya taifa ya Muhimbili baada ya kuugua kwa muda mrefu kiasi. Katika safari yake hiyo ya mwisho Sajuki aliagwa na mamia ya wakazi wa jijini Dar-Es-Salaam akiwemo Meya wa Ilala Jerry Slaa, Mbunge wa Kinondoni Iddi Azzan, Zitto Kabwe, wana filamu wenzake na wadau mbali mbali.
Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya marehemu Sajuki. Amen

Mwili wa marehemu ukitolewa kwenye jeneza tayari kwa kuzikwa

Mwili wa marehemu ukitolewa kwenye jeneza tayari kwa kuzikwa

Baadhi ya watu wakifukia kaburi

Baadhi ya watu wakifukia kaburi

Waigizaji wakifukia kaburi

Waigizaji wakifukia kaburi

Rais J.K. Kikwete akifukia kaburi

Rais J.K. Kikwete akifukia kaburi

Baadhi ya ndugu wa marehemu wakiwa tayari kwa kupokea mwili wa marehemu

Baadhi ya ndugu wa marehemu wakiwa tayari kwa kupokea mwili wa marehemu

Ndugu wa marehemu

Ndugu wa marehemu

Rais na baadhi ya viongozi wa bongo movies

Rais na baadhi ya viongozi wa bongo movies

DSC_2129 (600x402)

DSC_2186 (600x402)

Shughuli ya mazishi ikiendelea

Shughuli ya mazishi ikiendelea

DSC_2183 (600x402)

DSC_2182 (600x402)

DSC_2176 (600x402)

DSC_2173 (600x402)

Jeneza likishushwa chini tayari kwa mazishi

Jeneza likishushwa chini tayari kwa mazishi

DSC_2143 (600x402)

DSC_2144 (600x402)

DSC_2150 (600x402)

DSC_2152 (600x402)

DSC_2158 (600x402)

DSC_2128 (600x402)

Kaburi la marehemu Sajuki

Kaburi la marehemu Sajuki

DSC_2123 (600x402)

Mbunge wa kinondoni Iddy Azani akiteta jambo na Wiliiam  Malechela

Mbunge wa kinondoni Iddy Azan akiteta jambo na Wiliiam Malechela

Masanja akisubia zamu ya kufukia kaburi

Masanja akisubia zamu ya kufukia kaburi

DSC_2101 (600x402)

Rais Kikwete akisalimia  Watanzania kwa kuwapa mikono

Rais Kikwete akisalimia Watanzania kwa kuwapa mikono

DSC_2104 (600x402)

DSC_2247 (600x402)

DSC_2248 (600x402)

DSC_2105 (600x402)

Wasanii wa bongo movie wakiteta jambo

Wasanii wa bongo movie wakiteta jambo

DSC_2098 (600x402)

Shekh akisoma dua kwa marehemu

Shekh akisoma dua kwa marehemu

DSC_2116 (402x600)

DSC_2119 (402x600)

DSC_2227 (600x402)

DSC_2205 (600x402)

DSC_2207 (600x402)

DSC_2219 (600x402)

DSC_2224 (600x402)

DSC_2222 (600x402)

DSC_2230 (600x402)

Baba wa marehemu akizika

Baba wa marehemu akizika

Baba wa marehemu akizika

Baba wa marehemu akizika

DSC_2200 (600x402)

DSC_2113 (402x600)

Zito Kabwe

DSC_2107 (402x600)

DSC_2243 (402x600)

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments